Sunday, 1 September 2013

MAPENZI YANAUA KAMA HUJUI NDO KAMA HIVI ,MWANAMKE KICHECHE AMEZA SIMU BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI

Chanzo cha Spanish website Yipeta.com kinasema, mwanamke wa miaka 19 kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade alikuwa so desperate kumficha boyfriend wake asisome meseji iliyokuwa kwenye simu yake kiasi kwamba alipomwambia anaomba asome alikimbia.
  Na alipofika mbali alifanya 'the unthinkable' akaimeza simu yake. Anatakiwa afanyiwe oparesheni ili simu hiyo itolewe

No comments:

Post a Comment