WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao
za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo
aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii
Steve R&B, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHxTLERBA4HNHVVCDu4Q-Nf9siRJvhfqeipJKdoNEdTiNr4NpZz1UB_UrmzgdJ1YFmYYoIZUdS3NJrJHT0tikkjFOQbssoP7LoSKBns9lus0fqj2xc_kMqBFGAGvUpgqVP2-6Y8Cd-XMZM/s640/MSANII.jpg)
Chanzo
makini kimewasilisha ‘folda’ lenye picha za kutosha
za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake
kujipiga mwenyewe picha hizo.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sqdrKv1jw3J8eQPrD42JyWTYyg_nFXq-ji59k9moOyU7zEmVZiV2jdq587Ah7Se3gQF25n9TZwFpR3B_rmpa1GTELTb4qy4EWR070uOT8_-7o8dCiFz2QQ0wlt19c-WZMQbZVLKjnZEtsU61wh3P_PAhAPS36zgIDvmqey_RHkeRYFMIrDsczod2sJ6U5Qj6qDTrlEg_ML7R8-dpyPdZGtgYZi4T-CrH_CqToGDOZWhdYp9A=s0-d)
Kwa
sharti la kutochorwa jina lake gazetini, chanzo hicho ambacho kipo
aribu na Sapna kilisema:
“Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia
yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe,
kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.” Kikiendelea ufunguka zaidi,
chanzo hicho kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani
kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es
Salaam, ambapo alikuwa akiishi naye.
GONGA HAPA KUMSIKILIZA SAPNA
Ukistaajabu
ya Musa utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu na paparazi wetu na
kuelezwa kuhusu kunaswa kwa picha hizo, kwanza alishangaa lakini
akakiri kuzitambua.
“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe
sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga
kwa masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo
langu lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.
“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna.
No comments:
Post a Comment