Sunday, 29 September 2013

ZA MWIZI 40 LAKINI ZA KIJANA AMIRI NI 2 TU

Ni mwizi kijana maarufu kwa jina la AMIRI kutoka kijitonyama kwa ALLI MAUA kakamatwa leo hivi maeneo ya sinza kumekucha kwa kuiba viatu ndani kwa mtu 

hapa akiwa kwenye gari akipelekwa polisi source http://www.aalkanes.blogspot.com

No comments:

Post a Comment