Wednesday, 18 September 2013

HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEWEKA RECORD YA DUNIA ya KUWA NA MIGUU MIREFU KULIKO WOTE DUNIANI.

Ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni" Katika hali isiyokuwa ya kwaida huyu ndiye mwanamke aliyefanikiwa kuingiza katika kitabu cha kumbukumbu ya Dunia WORLD RECORD GUINESS BOOK. La kushanzaza zaidi walimkutanisha na mtu mfupi zaidi Duniani.








http://aalkanes.blogspot.com

No comments:

Post a Comment