NEY WA MITEGO "SINA TATIZO NA MADEMU RITHA CHECK TILIVYOTOKLEZEA"NANI AMENUNA?
Katika Uzinduzi wa Video mpya ya Diamond
ya wimbo unaoitwa Number 1 , Madamme Ritha wa BSS alikutana Live live
na Ney wa Mitego ambaye alimchana sana kwenye wimbo wake mpya akiuliza
milion 50 za BSS zinaenda wapi ? kwani washindi stil bado wamechoka
kimaisha...ili kuonyesha kuwa hawana Beef kati ya yao waliamua kupiga
picha ya Pamoja....
Hongera Madamme Ritha kwa kuonyesha ukomavu..Ingekuwa mwenzangu na Mie hapo mbona Beef lingekuwa Another Level....
No comments:
Post a Comment