Hii
leo katika dira ya Dunia.... Tanzania yakanusha madai ya Human Rights
Watch , kuwa watoto wanatumikishwa katika migodi nchini humokama unafiki
wa kujitafutia sifa..... Na leo katika mjadala wetu tunaangazia Syria,
Uwezekano wa Magharibi kuivamia kijeshi kwa madai kuwa serikali hiyo
imetumia silaha za sumu... je Unadhani wanayosababu ya kutosha kuchukua
hatua hii?
No comments:
Post a Comment