Sunday, 9 March 2014
CHEKI PICHA ZA MWANADAMU WA AJABU AMBAYE NUSU NI MTI NA NUSU NI MWANADAMU
32 year old Dede Kosawa, also known as ‘Tree Man’, is one of the world’s most extraordinary people. He lives in a remote village in Indonesia with his two children, trying to care for them. Dede, a former fisherman, has an incredible skin condition: he has root like structures growing out of his body – branches that can grow up to 5cm a year and which protrude from his hands and feet, and welts covering his whole body.
He is known locally as ‘Tree Man’ and his condition has baffled local doctors for 20 years. In an attempt to earn a living to support his family, he is part of a circus troupe, displaying his ‘Tree Man’ limbs along with others afflicted with skin deformities in ‘freak’ shows
.
Dr Anthony Gaspari, a world expert in skin conditions from the University of Maryland travels to Indonesia to attempt to diagnose ‘Tree Man’ Dede’s mysterious condition. He takes skin samples for biopsies back in the USA. What will he discover?
We go on an intimate journey with the extraordinary ‘Tree Man’ Dede, as he tries to eek out a living in a circus troupe to support his family, and as he is given medical help by Dr Gaspari. The identification and possible cure of his condition, could change his whole life.
Half way across the world, in Romania, farmer Ion Toader is discovered to have a similar extraordinary ‘Tree Man’ condition, with growths all over his hands. He has not been able to drive a tractor for five years. A Romanian surgeon offers to give him an operation to remove his growths.
How Thankful You Should Be To Your God?
Friday, 28 February 2014
Saturday, 8 February 2014
ETO NA DROGBA WATAMBIANA KUHUSU MALI,WAKE,MAJUMBA NA PESA NANI MKALI CHEKI HAPA.
Hawa ni miamba miwili kutoka Africa ainayofanya vizuri kwenye vilabu vya nje sasa kumekuwa na baadhi ya matambo kati ya hawa wawili kwamba na nani anamzidi mwenzake..
Eto’o alipatamagoli 100 katika kipindi cha misimi 5 akiwa katika timu ya FC Barcelona, Huyu ni mke wake anayefahamika kwa jina la Georgette
Haya ni magari anayo miliki mchezaji Eto'o
DIDIER DROGBA
Didier Yves Drogba Tébily alizaliwa 11 March 1978) huyu hapa ni mke wake
Magari anayomiliki
Nyumba yake
Hii ndo nyumba ya mchezaji Drogba yenye thamani ya Pound 14.5Million
Read more: http://www.aalkanes.blogspot.com
Saturday, 25 January 2014
Michelle-Obama-naked2,PICHA CHAFU ZA MKE WA RAIS WA OBAMA ZATINGISHA DUNIA..
WAKATI kukiwa na taarifa za hapa na pale
kutoka katika Ikulu ya White House ya Rais Barack Obama wa Marekani
kuhusu ndoa yake kuvunjika na kusambaa sehemu mbalimbali duniani.
Mgogoro katika ndoa yake kwamba wanandoa hao wametengana na hivi sasa kila mmoja anaishi kivyake na kulala kivyake ndani ya White House,picha chafu za First Lady huyo wa kwanza mweusi zimeanza kuvuja katika mitandao mbalimali ya kijamii

Michelle amekuwa akishindana na mumewe kutokana wawili hao kudaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi nje ya ndoa Chat yao,huku mwana mama huyo mwenye watoto wawili akidaiwa kuwa na mahusiano na kijana mmoja mtanashati na msanii Room mahili nchini humo.
Habarimpya.com imenasa mzigo mzima wa picha chafu za Michelle, lakini kutokana na maadili na heshma tumedirect kwenye website ambayo picha iyo tumeinasa, tumeshindwa kuzitumia kama zilivyo.
Tuesday, 14 January 2014
HII KWELI NOMA..TAZAMA PICHA ZAIDI YA 10 ZA MCHUNGAJI ALIYEWAAMBIA WAUMINI WAKE WALE MAJANI ILI WAWE KARIBU NA MUNGU..
Muumini akila majani ili kuwa karibu na Mungu
Mchungaji wa nchini Afrika Kusini amewafanya waumini wake wale majani kama mbuzi ‘eti’ kuwa karibu na Mungu.
Mwanamke mmoja alidai kuwa kula majani kulimponya koo lake
Kwa maelekezo ya Pastor Lesego Daniel
wa Rabboni Centre Ministries, mamia ya wafuasi wake walijimwaga kwenye
uwanja nje ya kanisa lake kula majani huko Garankuwa, Kaskazini mwa
Pretoria baada ya kuambiwa kuwa kwa kufanya hivyo wanakuwa karibu na
Mungu.
Waumini wakiwa wamelala nje ya kanisa kula majani kama walivyoagizwa na mchungaji wao
Mbinu hiyo yenye utata imekosolewa na
watu wengi huku yeye akisema kuwa binadamu wanaweza kula chochote na
wasidhurike. “Ndio tunakula majani na tunajivunia sababu inaonesha kuwa
kwa nguvu ya Mungu, tunaweza kufanya lolote,” Rosemary Phetha
aliliambia gazeti la Afrika Kusini la Times Live.
Doreen Kgatle, 27, alipata kiharusi
miaka miwili iliyopita anasema: Sikuweza kutembea lakini baada ya kula
majani kama mchungaji alivyoagiza, nilianza kupata nguvu na saa moja
baadaye niliweza kutembea tena.”
Picha zinazoonesha waumini mbalimbali wakila majani huku mchungaji huyu akiwakanyaga zimeleta mjadala mkubwa.
Matokeo baada ya kula majani, kuumbwa tumbo na kutapika
Times Live limeandika kuwa kwenye misa
hiyo ya watu takriban 1,000 Daniel alisikika akisema ‘lala’ na watu
sita wakalala usingizi. Aliwaagiza watu wengine kuwapiga vibao na
kuwatikisa lakini watu hao walienda kulala bila kujitambua hadi pale
alipowaagiza waamke.
‘Unaweza kuwaacha hivi kwa miezi sita. Naipenda hii. Sipendi kuboreka. Unaweza hata kuwafanya polisi wasinzie pindi wanapokuja kukukamata,” alisema.

Subscribe to:
Posts (Atom)